3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


⛳️APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA
Location: KIBAMBA SHULE
A: Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi: 350,000 Kwa mwezi × 6
B: vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Kila Apartment inajitegemea Umeme Na Maji
Ndani ya Fence parking IPO
Umbali KM 1.8 Boda boda 1000 Bajaji 700
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
NB: Zitakuwa Tayari Kuhamia 01/12/2024
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp