Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
ITAKUWA WAZI 01/08/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO NZURI LENYE MAKABATI
✔️UMEME LUKU YAKO
✔️MAJI METER YAKO
✔️YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️AIR CONDITION SEBULENI
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
KODI 250,000 × 6
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA DAKIKA 7 TU KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 🚶🚶
NYUMBA INA FENCE YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI 24HRS AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 𝟬688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp