Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Tsh Milioni 500,
Kinyerezi Zimbili, Dar es salaam Tanzania.
___________________
*Ukubwa wa eneo Sqm 1000,
*Umiliki : Hati miliki ya wizara ya aridhi.
___________________
■ Nyumba ina vyumba 3 vya kulala/vyumba vyote vina vyoo na bafu/sebure/jiko/sehemu ya kulia chakula/stoo/ choo na bafu vya familia nk,
____________________
■ Mnunuzi : Atalipia Tsh 30,000/= kupelekwa kuangalia nyumba.
_____________________
Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
●piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094