Viwanja vinauzwa Mtumba, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA MTUMBA KARIBU KABISA NA MJI WA KISERIKALI JIJINI DODOMA.
KIWANJA KIPO 500 MITA KUTOKA MOROGORO ROAD, PIA KIPO KARIBU NA MAKAZI, UMEME NA MAJI VINAPATIKANA.
UKUBWA WA KIWANJA, NI 654SQM BLOCK DB MTUMBA, PLOT NO 310.
BEI, 5 MILIONI TU.
MAWASILIANO: 0679777669.
KARIBUNI WATEJA.
# Dodoma viwanja# House plan#
#Panga sasa# realastate#Cag#