House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA APARTMENT ZA KISASA INAPANGISHWA 400,000/= NA MOJA IPO WAZI
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI VYUMBANI YANAFUNGWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN NZURI
# PAVING BLOCK
BEI NI 400,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI MPYA ZIPO NJIA YA KUELEKEA GOBA (BARABARA YA GOBA ) KITUO KWA ROBART NA KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA UPO WA KUTOSHA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
----------------------
Coll and Whatsap
0788410350 / 0766825472