House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 × 6) KIMARA BUCHA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/07/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING BLOCKS
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/= × 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/07/2024 KUONA NA KULIPIA RUKSA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300