House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Dakika 15 Kutembea toka Mwendokasi, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Choo cha familia
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow 24/7
🔹Fenced Car Parking
👉Hii Inakuwa Wazi Kuanzia Kesho(Jumamosi) Kuiona na Kulipia Ruksa
🔶Kodi Tsh 350, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 350, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊