House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/07/2024
APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/=×6
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/07/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
Contact
0652472014
0754344786