House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara KOROGWE
🕑Dakika 3 Kutembea toka Mwendokasi, Barabara nzuri kwa Magari yote
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja master Kizuri
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet nje
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking & Garden
👉Zipo 5 Hapa, na hii Moja Inakuwa Wazi Tar 10/07/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa.
🔶Kodi Tsh 250, 000/=×12(Kodi ya Mwaka)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊