House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
🗯️Nyumba Nzuri sana inapangishwa, KIMARA TEMBONI
📍 800,000/= *6
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo Master)
• Sebule Nzuri
• Jiko lenye makabati
* Ina A/c
* Heater ya Maji ya Moto
* Ndani ya Fensi
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
#Umbali wa kutembea dk 9 tu
📌 NOTE: ikiwa Full Furnished bei inakuwa 1,200,000/= ×6
______
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
#Malipo ya Dalali ni 800,000/=
______
0753-172-516