House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


SINGLE ROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA, CHOO NJE CHA KWAKO MWENYEWE USHEI NA MTU, MAJI DAWASA YAPO
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA LUKU YA KUSHEA NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA 700/=
*KODI 60,000/= KWA MWEZI
________________________________________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:0620_436331
*CALL:0758_602157
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________