House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA KABISA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#CCTV CAMERA
BEI NI 300,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅNJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KWA MAWASIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
O627977383