House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA!
TSH. 300,000 KWA MWEZI. INALIPWA KUANZIA MIEZI 6.
LOCATION
KIMARA MWISHO. UMBALI KM 2.5 TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASI.
USAFIRI WA UHAKIKA. BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 TU
SIFA
VYUMBA (2) VYA KULALA (KIMOJA MASTER)
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES, GYPSUM, SLIDING WINDOW
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
NDANI YA FENSI
PAKING SPACE KUBWA
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177