House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(150,000X4)KIMARA BARUTI DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO...ISHI KWA MALENGO..VYUMBA VIWILI
ββ
*ACHANA NA MAJUMBA YA BEI KALI MAISHA UPANDA NA KUSHUKA KIUCHUMI*π₯π₯
NYUMBA HII INA PANGISHWA 150K
*SIFA ZA NYUMBA*
#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA,
# KIMOJAWAPO NI MASTER BADROOM
#SEBLE KUBWA NA DINING
#CHUMBA CHA MASTER KINA KABATI LA NGUO
#SEHEMU YA JIKO YENYE KABATI LA VYOMBO
#TILES SAFII
# UMEME NA MAJI NIVYA KUSHEA WATU 3.
*NYUMBA HII IPO KIMARA BARUTI "matete" ROAD MPYA YA LAMI INAYOTENGENEZWA*
*DK.12 KUTEMBEA KWA MIGUU ADI STEND*
*MAMBO YASIWE MENGI BEI KITONGA HII EBU NJOO HARAKA NDGU. MTEJA ULIPIE*
*FENSI HAMNA ILA USALAMA UPO WAKUTOSHA*
ββββββββββ
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ββββββββββ
CONTACT US:-
07116223412
0683597453