House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENTS KALI SANA ZINAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko kubwa
Kodi 300,000 Kwa mwezi ร 6
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali 1 Tu kutoka Morogoro Road (unaweza Kutembea)
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Simu 06 59 33 67 51 Wsp 07 86 08 56 37