House for rent at Olasiti, Arusha


FAMILY HOUSE FOR RENT OLASITI
Ina rooms 3 za kulala (1 master)
Ina Sebule
Ina jiko lenye makabati
Ina choo cha public
Ina eneo kubwa maegesho ya magari
Ina heater ya maji moto
Ina tank la maji
Ina electric fence kuta zote
NYUMBA INAJITEGEMEA
BEI:Laki 3 kwa mwezi
Mahali: Olasiti Asilia coll.255788075525