House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


🗯️Nyumba Kali Sanaa UBUNGO KONA
📍Kodi 450,000/= *3 
📌Kodi hata miezi mitatu, baada hayapo hata ukiwa unalipa MWEZI MMOJA MMOJA
________
____
• Chumba  Master
• Sebule 
• Jiko
* A/c ipo Sebuleni
* Inajitegemea UMEME
* Garden 
* Mazingira tulivu na mazuri sana 
* Mlinzi wa Kampuni yupo 
* Fensi
* Parking Kubwa
#Ipo Umbali wa dk 6 tu had mwendokasi
#Note: Kodi inaambatana na hela ya tahadhari 450k, unarudishiwa unavyohama, kama hauna njoo ntakuombea ulipe kodi ya miezi miwili na hela ya tahadhari jumla inakuwa miezi mitatu
_________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 450,000/=
#Service Charge 15,000
0753172516




















