House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


# MASTER BEDROOM YANI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA NA CHOO CHAKE NDANI. HIKI CHUMBA NI KIKUBWA SANA. KIPO UBUNGO KIBO UMBALI WA DK 7 TU KWA MIGUU KUTOKA STEND YA MWENDOKASI . UMEME KUNA SUBMITER UNALIPA KUTOKANA NA MATUMIZI YAKO. MAJI YANAFLOW NDANI. BEI LAKI 1 NA ELFU 80. KUANZIA MIEZI 3 INAPOKELEWA.
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087