House for sale at Mawasiliano, Morogoro


APARTMENTS MPYA ZA KUMALIZIA UJENZI(FINISHING) ZINAUZWA ZA KWANZA BARABARA YA LAMI
Muundo wake
• ziko apartment mbili zenye vyumba viwili vya kulala vyote master, sebule na jiko kwa kila moja (two in one)
•apartments zinatazama barabara ya lami
•zimepigwa plasta na wiring tayari
•zina fensi upande mmoja tayari
•Umeme na maji vipo
• BEI 120,000,000/= Tzsh tu
Mawasiliano
0628881445
0755690265