House for sale at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba (Apartments) zinauzwa Tsh Milioni 300
Tabata Segerea (Chama) Dar es salaam Tanzania.
____________
■(1) Zipo apartments 5,
Kila nyumba ina vyumba 2 vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/sebure/jiko/choo na bafu vya familia nk.
■(2) Zipo fremu (milango 2 ya biashara)
__________
■Mnunuzi ; Atalipia Tsh 30,000/=
Kupelekwa kuoneshwa nyumba.
____________
■Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
■piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094