1 Bedrooms House for Rent at Bugando, Mwanza
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA BUGANDO
-chumba kimoja self contained na sebule
-umeme na maji unajitegemea
-malipo ni miezi mitatu (3)
Pia kuna chumba kimoja self contained kodi ni 120,000 kwa mwezi
Nyumba iko pembeni ya barabara
📞 0743220097