1 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam






NYUMBA YA KUPANGISHA INAUZWA (MIL 150) GOBA CENTRE KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Viwil Juu Vyote Self Contained Na Chini Kuna Chumba Kimoja Self Contained, Sebule Na Flem Moja Ya Biashara
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 300
Umbali: Meter 200 Tu Kutoka Barabara kuu ( Goba Centre)
Bei : 150 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337