1 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment ya Master Bedroom, Sebule na Jiko - 450k/month🏠
Specifications:
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Lastanza📍
• Chumba Kimoja cha Master bedroom
• Jiko Zuri Kabisa
• Umeme na Maji unajitegemea
• Fence na Parking ya Uhakika
• Ipo Karibu na Barabara
Payment Conditions:
• Kodi ya Nyumba kwa Mwezi ni 450k✅
• Malipo ya Kodi ni ya Miezi Minne (4)
Service Fee:
• Gharama za Kuona Numba ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama za Dalali ni Mwezi Mmoja wa Kodi ya Nyumba ambayo Hulipwa na Mpangaji Tofauti na Kodi
Contact:
• 0695511662 (Normal/Whatsapp)📲