1 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent kali nzuri sana mpya kabisa
Location goba kwa robati km2 usafiri upo boda ni 1000 mpaka getin
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128