1 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 300k🏘️
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba📍
• Chumba Kimoja ni Master
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking ipo
• Maji na Umeme unajitegemea
• Umbali Kutoka Barabarani ni Km 1 or Boda buku
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezini 300k✓
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
0744701813 Normal/Whatsapp📲



















