1 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA JIKO
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA CENTER
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 - 10 Kutoka Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI
• HEATER
• AC
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Wawili na Maji yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 320,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp