1 Bedrooms House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIBAMBA CHAMA DK 3
KUTOKA MOROGORO ROAD
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba mpya
Vyumba vyakulala viwilli
Chumba kimoja ni master bedroom na pabrck ya ndani ipo Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
kwa mwezi ni laki tatu
Uripie miezi sita tuu/=
(300,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu 0659336751 wsp 0786085637