1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> chumba kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅mazingira mazuri
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na safi
✅nyumba Ina parking
<> asking price 250k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837