1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina chumba kimoja master na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba nzuri na ya kisasa
<> asking price 180k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> services charge 20k
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837