1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA 160K X4,5,6
ILIPWE LAKI MOJA NA SITINI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA
NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2.5 USAFIRI BAJAJI 1000
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK ๐ซ
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343