1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
📍ENEO KIMARA- TEMBONI
Upande wa kulia kama unaenda mbezi
📍BEI - 120,000 x6. MPYAA KABISA 💥
NYUMBA
YENYE
______
🔸Chumba kimoja cha kulala
🔸Choo ndani
🔸 Maji yanatoka ndani
🔸Jiko
🔸Wapangaji 5 tu, hamna mwenye nyumba hapa
🔸Ila kimoja ndicho kipo waziiii
🔸Madrisha ya kioo
🔸Umeme
♦️ Fensi inajengwaa,ila hailazi gari
🔸Umbali wa 1.5km
📍Service charge. 15,000 elfu
======
CONT
0683234124
0718367179