1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION #KIMARA_MWISHO DK 5 TUU KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KWA WALE AMBAO HAMTAKAGI MBALI NJONI SASA HARAKA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI mpya
#chumba kimoja master bedroom
# jiko zuri ndani piya
#dining room kubwa
Inajitegemea umeme NA maji
Ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
maji yapo ndani yanatoka chooni na jikoni
KODI YA PANGO
________________
Kwa mwezi unatakiwa uripe laki tatu
(300,000)
X 6 tuu/=
Kwa maelezo zaidi Piga simu
#0747997630
0679997610
Msigwa