1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Buvha
🕑Dakika 8 Kutembea toka Mwendokasi
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master kikubaa
🔹Kibalaza chakupikia
🔹Umeme Luku shared,
🔹Maji yanaflow Chooni
🔹Haiko kwenye fensi, Ila usalama ni mkubwa
🔶Kodi Tsh 170,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 170,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊