1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿MASTER ROOM MPYA YA KISASA – KIMARA KOROGWE
📍 Eneo: Kimara Korogwe
🕓 Umbali: Dakika 6 tu kutoka stand ya mwendo kasi
🏠SIFA ZA NYUMBA :
🔹Chumba kimoja Master kikubwa
🔹Jiko Kubwa nzuri sana
🔹Umeme (sub-meter wawili tu.
🔹Maji yanafrow ndani masaa24/7
🔹Fenced & Parking kubwa
👉Ziko nyumba 3 kwenye compaund moja na hii moja ndo imebaki tu.
Gharama
🔸Kodi: Tsh 180,000 × 6 (miezi sita)
🔸Malipo ya dalali: Tsh 180,000
🔸Service charge: Tsh 15,000
#Piga_simu 0659336751
Whatsapp 0786085637
Karibu Sana Mteja