1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6
➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION KIMARA KOLOGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: USAFI NA MAJI NI BUREE VIMEJUMLISHWA KWENYE KODI
NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 5/12/2025 KUONA KULIPIA RUKXA MPANGAJI AKIWEPO
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















