1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI Tsh. 200,000 X6 TU WAHI NYUMBA NZURI
PIGA SIMU 0625606710
🌍LOCATION: NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
NYUMBA IPO UMBALI WA KILOMITA 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
✔️ UMEME LUKU YAKO
✔️ MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
✔️ WATER RESERVE TANKS
✔️ NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NZURI SANA USALAMA KAMA IKULU
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IPO WAZI TAYARI
# SERVICE CHARGE NI 15,000\/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA