1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#MASTER_ROOM INAPANGISHWA
📍Kimara korogwe
🕓Umbali wa kutoka stand ya mwendo kasi dakika 10 kwa mguuu
#SIFAZAKE
🌲Chumba kimoja Master kikubwaa
🌲Umeme Sub-meter yake Tu
🌲Maji yanaflow ndani
🌲Fence amna ila usalama wa kutosha
👉Ziko 4 kwenye compaund moja
🔹KODI Tsh 100,000/= ×4,5 (MIEZI SITA)
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347