1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X3)KIMARA MWISHO DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 3 NDANI FENCE MOJA NDIO IPO WAZI KODI 200,000X3
LOCTION KIMARA MWISHO DAKIKA 6-7 KUTEMBEA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANAAA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
KUPELEKWA SITE ELF 15 UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
CONTACT US:-
0716223412
0618976024