1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
INAKUWA WAZI TAR 17.7.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
#Viumba viwili vakulala kimoja mastar bedroom
#Sebule
#Jiko la kisasa
#Public toilet
#Fens get
#Peveng block
#Parking ipo
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏