1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000/= X6
LOCATION KIMARA KOLOGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700
Service charge 15,000/=
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: USAFI NA MAJI NI BUREE VIMEJUMLISHWA KWENYE KODI
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.