1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KWASASA NI LAKI MBILI TUU 200,000
_____________________________
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwa watoto
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili tuu/=
(200,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL
CALL
0683234124
0718367179