1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAZINGIRA MAZURI PAKING SPACE
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















