1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOMS NZURI SANA ZA KISASA ZINAPANGISHWA
NYUMBA MPYA
LOCATION:
KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5 TU KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
CHOONI MAJI YANATOKA UKILIPIA KODI NA MAJI HUMOHUMO
NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
A: CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO KODI 140,000 X 6
B: CHUMBA KIMOJA MASTER BILA JIKO KODI 120,000 X 4
ITAKUWA TAYARI TAREHE 9/2/2025
BOOKING RUKSA
CALL 0659244543