1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 150,000X6 KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1
BODA 1
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
IPO NDANI YA FENSI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
BARABARA ZEGE SAFI
MAJI YANA TILILIKA NDANI CHOONI NA JIKONI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0785889413