1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 250K X6
ZIPO APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENCE NA ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PARKING SPACE KUBWA IPO
KODI LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
LOCATION
KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO DK 10-12 KWA MIGUU
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347