1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO (DSM)🇹🇿
====================
RANGI INAPIGWA KOTE NJE NDANI
*CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
*NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA HATA MAGARI 10 UMEME WAWILI MAJI MITA YAKO
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA1.5 BAJAJI
700
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿
USAFIRI UPO NI BODA 1000 BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
*KODI NI TSZ 130000/= KWA MWEZI
_________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_________________________