1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM FOR RENT NAJIKO KUBWA
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 12 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 230,000/=x8
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER NAJIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
MAZINGIRA SAFI NA SALAMA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637