1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿KA STAND ARONE KANAJITEGEMEA #KANAPANGISHWA
📍kimara Baruti
🕑Dakika 15 kutoka stand ya mwendo kasi kwa mguu usafili bajaji 500 ukishuka dakika 4 upo ndani bodaboda 1000 Tu
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja master kikubwa
🔹Sebule Kubwa
🔹Jiko
🔹Umeme inajitegemea na maji yana frow ndani
🔹Fence amna usalama wa kutosha No uswahili hapa
🔹Zipo 2 kwenye compaund moja na hii moja ipo wazi kwa kuingia marebisho yanafanyika rangi n.k
🔸Kodi Tsh 150,000/-x,6(Miezi sita )
🔸Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
🔸Service Charge Tsh 20,000/=
#Piga_simu👇
O627977383
#. &Whatsapp
#please #Follow us..🙏
Karibu Sana Mteja☺