1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HII NI MASTER JIKO KUBWA SANA
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
HADI KWENYE NYUMBA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba kimoja master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji yapo ndani yanatoka chooni na jikoni
Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO KWA MWEZI
_______________________
kodi ni laki mmoja nanusu 150,000)tuu Kwa mwezi inatakiwa miezi 4 kwa sasa
Baada ya hapo utakuwa unaripa miezi sita 6
Zingatia kipengele hicho
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL