1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KZR NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347